Karia: Sijasikia Chadema kwenda Fifa

Barua hiyo ya kurasa mbili, iliyosainiwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene imeonyesha masikitiko yake kwa kitendo cha Karia kutumia wa soka kuonyesha chuki na ubaguzi dhidi ya Tundu Lissu ambaye Septemba 7, 2017 alishambuliwa kwa risasi zaidi ya 30....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Saturday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News