Karibu nitawataja walionishambulia – Tundu Lissu

MBUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), katika jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, anaendelea “kumwaga sumu,” katika nchi kadhaa Ulaya na Marekani. Anasema, shambulio dhidi yake lilillolenga kuondoa uhai wake, lilipangwa na baadhi ya viongozi wakuu wa serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaandika Mwandishi Wetu … (endelea). Lissu anasema, “tusidanganyane. Some one ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News