Kaseja apania makubwa fainali za Mataifa ya Afrika

Kaseja alisema wachezaji wengi walioitwa ni wale wenye uzoefu na soka la ufukweni na wamekuwa wakifanya vizuri kwenye michuano ya ndani ikiwemo yale mashindano ya Copa Dar es salaam ambayo yamemalizika hivi karibuni kwa Tanzania kuibuka bingwa mbele ya nchi za Malawi, Uganda na Shelisheli....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Wednesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News