KASEKE YULEE WA MBEYA CITY ANUKIA

NA MICHAEL MAURUS KIUNGO wa Yanga, Deus Kaseke, amezidi kuwa ‘mtamu’ kadri siku zinavyokwenda, akifanya mambo makubwa katika mazoezi yanayoendelea kwenye Uwanja wa Chuo cha Biblia, mjini hapa.  Mwanzoni wakati anatua Yanga, akitokea Mbeya City, Kaseke alikuwa ni habari nyingine kutokana na uwezo wake wa kukaba, kupoka mipira na kuipa presha ngome ya wapinzani, akibebwa zaidi na kasi na nguvu zake. Uwezo wake huo pamoja na wachezaji wenzake, ndio uliochangia Mbeya City kuwa tishio enzi hizo, ikizitoa jasho timu pinzani, wakiwamo wakongwe wa soka nchini, Simba na Yanga, hasa inapocheza...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Tuesday, 23 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News