Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres asifu mafanikio ya Afrika wakati wa mkutano wa AU

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameuhutubia mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika ambapo amesifu mafanikio katika chaguzi za hivi karibuni, mikataba ya amani na jinsi Afrika inavyowashughulikia wakimbizi.Wakati wa hotuba yake iliyojaa matumaini Guterres aliunga mkono juhudi za bara la Afrika katika kuifungua mipaka na milango yake na kuonesha mshikamano wa hali ya juu katika kuwasaidia wakimbizi.Gutteres aliwaambia viongozi wa Afrika na wanadiplomisia wa ngazi ya juu wanaohudhuria mkutano huo kuwa katika juhudi za kutafuta suluhisho la kudumu kwa tatizo la wakimbizi bara la Afrika limekuwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News