Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania Dkt.Charles E Msonde Atangaza Matokeo ya Mitihani ya Kitadu cha Sita (ACSEE) Uliofanyika Mei 2019. Jumla ya Watahiuniwa 91,298 Walisajiliwa Kufanya Mtihani wa Kidatu Cha Sita.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania Dkt. Charles E.Msonde akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali Zanzibar wakati akitowa matokeo ya Mtihani wa Kidatu cha Sita (ACSEE) uliofanyika mwezi wa Mei 2019.Amesema Jumla ya Watahiniwa 91,298 walisajiliwa kufanya Mtihani wa Kidatu cha Sita 2019, wakiwemo Wasichana 37,948 (41.56%) na Wavulana 53,350 (58.44%) Kati ya watahiniwa waliosajiliwa wa Shule walikuwa 80,216 na wa Kujitegemea 11,082.  Jumla ya Watahiniwa 88,069 sawa na asilimia 98.32, waliofanya mitihani ya kidatu cha sita mei 2019, wamefauulu vizuru kati ya Watahiniwa hao Wasichana waliofaulu ni...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News