Kauli ya Kagame kuhusu mauaji ya mwanasisa wa upinzani yazua sintofahamu

Kauli ya rais wa Rwanda Paul Kagame kuhusu mauaji ya mwanasiasa wa upinzani Sth Sendashonga imezua hali ya sintofahamu nchini humo. Hivi karibuni rais wa Rwanda alizungumzia kuhusu mauaji ya mwanasiasa huyo ambaye alimshtumu kwamba alikuwa na lengo la kuipindua serikali yake....

read more...

Share |

Published By: RFI France - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News