Kauli ya Kwanza ya January Makamba Baada ya Kutumbuliwa na Rais

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa January Makamba ambaye alikuwa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na MazingiraNafasi hiyo kwa sasa Kapewa George Simbachawene. Kupitia Ukurasa wake wa Twitter, Makamba kaweka picha yake akiwa na mzee Mwinyi na kuandika; Kwa kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa ????. Nitasema zaidi siku zijazo.  ...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Saturday, 20 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News