Kauli ya Magufuli ya kuzaana yaibuka bungeni

Mbunge wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe amehoji kauli ya Rais John Magufuli ya kuwataka  watu kuzaa watoto kwa kadri wanavyoweza, akiitaka mifuko ya bima ya afya iongeze idadi ya watoto wanaowahudumia kutoka wanne hadi kufikia 10....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News