Kesi Ya Halima Mdee Yapigwa Kalenda....Shahidi Kadai Anaumwa

Ushahidi wa kesi inayomkabili mbunge wa Kawe, Halima Mdee haukusikilizwa leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mshtakiwa (Mdee) katika kesi hiyo kudaiwa anaumwa.Hayo yameelezwa leo Septemba 11 na Wakili wa Serikali Mwandamizi, Kishenyi Mutalemwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Akizungumza mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, Mutalemwa amesema kesi hiyo ilipangwa kusikilizwa leo Septemba 11 kwa mashahidi wa upande wa mashtaka kutoa ushahidi lakini mshtakiwa hayupo akidaiwa kuumwaBaada ya Kishenyi kueleza hayo, mdhamini wa Halima Mdee, Fares Robinson aliieleza mahakama kuwa anaumwa.Hakimu Simba baada ya kusikiliza Maelezo...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News