Kesi ya kina Mbowe: Shahidi aeleza alivyopigwa jiwe na kuzimia

NA KULWA MZEE -DAR ES SALAAM SHAHIDI wa tatu katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na viongozi wenzake nane, Koplo Rahim amedai waandamanaji walirusha mawe na jiwe moja lilimpiga shingoni akapoteza fahamu. Koplo Rahim alidai hayo jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akiongozwa na Wakili wa Serikali, Simon Wankyo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thoma Simba. Alidai wanachama wa Chadema wakiongozwa na viongozi wao waliandamana kutoka viwanja vya buibui kuelekea kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni wakiwa na mawe, chupa za maji na baadhi walivaa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News