Kesi ya kina Zitto ngoma nzito, serikali yadai Mahakama haisikilizi shauri la muswada

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imesema haina mamlaka ya kusikiliza kesi ya kupinga Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Vyama vya Siasa, iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe na wenzake. Hatua hiyo inatokana na waombaji hao, kuwasilisha maombi chini ya Ibara ya 30 ya Katiba ambayo inazungumzia sheria na si muswada kama walivyoainisha. Wakili wa Serikali Mkuu, Mark Mulwambo ametoa madai hayo akiwasilisha hoja za kupinga usikilizwaji wa shauri hilo ambalo limeanza kusikilizwa leo katika mahakama hiyo. Aidha, amedai Katiba imeipa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News