Kesi ya ubunge wa Lissu kesho

Kulwa Mzee -Dar es salaam KESI ya kupinga kuvuliwa ubunge iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa zamani wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, inatarajiwa kuanza kusikilizwa kesho. Hati ya kuwaita pande mbili imetolewa jana na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ikiwaita wahusika kufika katika shauri hilo linalosikilizwa mbele ya Jaji Sirilius Matupa. Lissu ambaye ni Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), yuko nchini Ubelgiji kwa matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu ambao hadi sasa hawajajulikana, Septemba 7 mwaka juzi. Amefungua shauri hilo chini ya hati...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News