Kesi ya Zitto: Shahidi akiri vurugu za Uvinza

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imeendelea kusikiliza kesi Na 327 ya 2018 ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Leo tarehe 25 Aprili mwaka 2019 mahakama hiyo ilishuhudia shahidi wa kwanza wa upande wa mashitaka, SSP John Malulu akikabiliana ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 25 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News