Kesi ya Zitto: Shahidi asema ‘nawachukia polisi’

SHAHIDI wapili kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili Zitto Kabwe, Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, analichukia Jeshi la Polisi kutokana na matendo ya ukatatili kwa raia. Anaripoti Faki Sosi …(endelea). Leo tarehe 16 Mei2019, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shahidi, upande wa serikali uliongozwa na Wakili Mkuu ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News