Kevin Hart aomba tena radhi

NEW YORK, MAREKANI MCHEKESHAJI maarufu nchini Marekani, Kevin Hart, ameomba tena radhi kwa kauli yake ya kuwazungumzia vibaya watu wanaoshiriki tendo la jinsi moja. Msanii huyo ambaye aliteuliwa kuwa mshereheshaji kwenye tuzo za Oscar ambazo zinatarajiwa kufanyika Februari 25 mwaka huu, lakini kutokana na kauli za kuwazungumzia mashoga akaondolewa nafasi hiyo. “Nitaendelea kuyasema haya kwa ajili ya kuacha kila kitu kikienda sawa sawa, nataka kuweka wazi kuwa, sina tatizo na watu wanaoshiriki matendo ya jinsia moja, nataka kila mmoja ajisikie huru na furaha. “Nadhani maneno yangu hayakuwa na maana...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News