Kifusi chaua watatu mgodini Arusha, wengine wajeruhiwa

ELIYA MBONEA-ARUSHA MIILI ya watu watatu waliofukiwa na gema katika machimbo ya moram yaliyopo Moshono Kata ya Moivaro jijini Arusha, imeipolewa huku ikiwa imeharibika kwa kutoboka macho na kukatika mikono. Gema hilo lilianguka jana asubuhi na juhudi za uokoaji zilianza saa 2 asubuhi ambapo hadi majira ya mchana kwa vikosi vya askari polisi, zimamoto vikishirikiana na wananchi walifanikiwa kuipata miili hiyo na gari lililofunikwa gema hilo.  Katika tukio hilo pia watu wawili walijeruhiwa na kukimbizwa Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru.  Kukatika kwa ngema hilo kunadaiwa kusababishwa na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News