Kigwangallah Atoa Shukran Kwa Madaktari na Wauguzi Baada ya Kunusurika Kufa Ajalini

WMU – Arusha.Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amewashukuru Madaktari, wauguzi na wafanyakazi wa hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) ya jijini Arusha kwa huduma na matibabu waliyoyatoa kwake na kwa wasaidizi wake alipopata ajali mbaya ya gari Agosti 4, 2018 katika eneo la Magugu mkoani  Manyara.   Dk. Kigwangalla ametoa shukrani hizo wakati akizungumza na Madaktari, Wauguzi na wafanyakazi wa hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre, jijini Arusha.Akiwa ameambatana na mkewe Dk. Bayoum Awadh, amewashukuru na kuwapongeza madaktari na wauguzi wa hospitali hiyo kwa matibabu waliyompatia kwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 16 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News