Kikao cha mwisho cha Nassari kabla ya Spika Ndugai kumvua ubunge kwa 'utoro'

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akichangia mjadala katika Chuo cha Uhifadhi Wanyamapori - Mweka wakati Kamati ya Bunge ya Maliasili, Utalii na Mazingira ilipotembelea chuo hicho jana Machi 14, 2019. Jana hiyo hiyo, Spika Job Ndugai alitangaza kumvua Nassari ubunge kwa ‘utoro’....

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News