Kikosi cha Timu ya Malindi Zanzibar Wakijiandaa na Michuano ya Bonaza la Ujamaa na Maandalizi ya Ligi Kuu ya Zanzibar Msimu Ujao 2018/2019.

Wachezaji wa Timu ya Malindi Zanzibar wakiwa katika uwanja wao wa Mnazi Mmoja wakimsikiliza Kocha wao mchezaji wa zamani wa Timu hiyo Waziri Seif baada ya kumaliza mazoezi yao wakati wa asubuhi wakijiandaa na Michuano ya Tamasha la Bonaza la Timu ya Ujamaa na Ligi Kuu ya Zanzibar inayotarajiwa kuaza kutimu vumbi hivi karibuni Visiwani Zanzibar. Timu ya Malindi imepanda daraji msimu huu na baada ya kusota kwa muda mrefu daraja la kwanza  na hatimai kufanikiwa kurudi katika Ligi Kuu ya Zanzibar kwa Msimu wa 2018/2019.Kikosi cha Timu ya Malindi kinaundwa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News