KIKOSI HIKI, WATAZIMIA SANA TU

NA WINFRIDA MTOI KWA usajili uliofanywa na Simba kipindi hiki, wana haki ya kuendelea kutamba msimu ujao na kuwapa presha mashabiki wa timu pinzani, kutokana na ubora wa wachezaji waliotua Msimbazi, wanaoweza kutoa vikosi viwili matata. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori, siku chache zilizopita, aliwahi kusema kuna watu watazimia pale watakapotangaza baadhi ya majina ya wachezaji waliowanasa. Siku chache baada ya kauli hiyo, klabu hiyo ilianika picha zinazoonyesha Ibrahim Ajib na Gadiel Michael wakisaini mkataba Simba, wote wakitokea Yanga. Kwa wale wanaodhani mchezo wa kuzimia umeishia hapo, watakuwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News