Kikwete, Mkapa na Mwinyi Walivyosherehekea miaka 20 ya Balozi wa Marekani

Balozi mstaafu wa Marekani nchini Tanzania wakati wa utawala wa Serikali ya awamu ya tatu chini ya Benjamin Mkapa, Balozi Charles Stith amesema anajisikia faraja kusherehekea miaka 20 ya ubalozi nchini kutokana na mapenzi mema na nchi ya Tanzania.Balozi Charles amesema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 20 ya ubalozi ambapo maraisi wastafu mzee Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Dk.Jakaya Kikwete walishiriki kwenye sherehe hiyo.Mbali ya marais wastaafu, wakati wa sherehe hiyo viongozi wengine wa ngazi mbalimbali pamoja na wageni waalikwa wakiwemo baadhi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News