KILO 100 ZA BALOTELLI ZAZUA TAFRANI ITALIA

ROMA, Italia   KAMA unadhani vituko vimemuisha staa wa klabu ya Nice ya Ufaransa na timu ya taifa ya Italia, Mario Balotelli, basi sikia hii. Imeripotiwa kuwa straika huyo alirejea kutoka mapumzikoni na kabla hajaanza mazoezi rasmi na wenzake, aliingia kwenye vipimo na kukutwa ameongezeka uzito hadi kufikia kilo 100 (15 zaidi ya kilo 85 halisi). Mtandao wa L’Equipe ulidai kwamba, mfumania nyavu huyo alikutwa na uzito huo wa juu aliporudi katika majukumu ya kisoka msimu huu na kwa sasa amerejea katika klabu yake ya Nice. Hali hiyo imetajwa kuwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 13 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News