Kimbunga hatari kuikumba mikoa ya kusini

Na ANDREW MSECHU DAR NA FLORENCE SANAWA, MTWARA MAMLAKA za Hali ya Hewa Tanzania na Msumbiji zimethibitisha kuwapo kimbunga kilichopewa jina la Kenneth, kinachotarajiwa kuyakumba maeneo ya pwani ya Kusini mwa Tanzania na Kaskazini mwa Msumbiji kati ya leo usiku na kesho.   Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), Dk Pascal Wanita, alisema tayari mamlaka hiyo imethibitisha kuwa kimbunga hicho kimeonekana katika maeneo ya Bahari ya Hindi. Alisema mifumo ya hewa inaonyesha kimbunga Keneth kilichopo eneo la kaskazini magharibi mwa Kisiwa cha Madagascar, kinaambatana na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 24 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News