Kimbunga kikali chelekea pwani ya Mashariki ya Atlantic nchini Marekani.

Wamarekani wanaoishi kaibu na pwani ya Mashariki ya Atlantic, kwneye majimbo ya North Carolina na South Carolina wanaendelea kuhama mwakwa huku kimbunga kikilichopewa jina la Florence kikiendelea kupata nguvu na kupelekea wasiwasi kwamba huenda kikaleta madhara makubwa....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News