Kipa wa Yanga asaini miaka miwili Simba

ALIYEKUWA kipa wa Yanga, Benno Kakolanya amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba kuanzia msimu ujao. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kakolanya ambaye sehemu ya msimu uliopita aliitumikia Yanga  kabla ya kuafikiana na klabu yake hiyo ya zamani kuvunja mkataba sasa atakuwa mali ya Simba. Mgogoro wa Kakolanya na Yanga ulitokana na madai ya ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 14 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News