Kipigo cha mvuruga kocha wa JS Saoura

KIPIGO cha bao 3-0 kutoka kwa Simba, kimemvuruga Kocha Mkuu wa JS Saoura, Nabil Neghiz, hali iliyompelekea kushusha lawama kwa mwamuzi wa mchezo na wanahabari kutoka Tanzania kuwa waliwaondoa mchezoni. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea). Kocha huyo alisema kuwa katika mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, walistahili kupata penalti baada ya mchezaji wake kuangushwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 4 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News