Kisa ya Rais Magufuli kumuondoa Prof. Mwandosya hiki hapa

RAIS John Magufuli ametengua uteuzi wa Prof. Mark Mwandosya wa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyererena nafasi yake kuchukuliwa na Steven Wasira bila kueleza sababu ya kutengua utauzi huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kwa muhimu wa taarifa ilitolewa na Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, jana tarehe 9 Septemba 2018, ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News