Kituo cha Online Tv cha Al Fatah TV Online Zanzibar Chakabidhia Leseni ya Utangazi Kupitia Mitandaoni na Tume ya Utangazaji Zanzibar.

Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg. Omar Said Ameir akimkabidhi leseni ya Utangazaji kupitia Mtandaoni Online Tv Mkurugenzi Mkuu wa Al Fatah Online Tv Ndg. Rashid Salum Mohammed, baada ya kukamilisha taratibu zote za usajili kupitia Tume ya Utangazaji Zanzibar baada ya kutolewa Tamko kwa Kila TV Online na Blog kufanyiwa Usajili ili kuweza kutambuliwa na Serikali ufanyaka kazi wao uwe kihalali, akishuhudia Mhandisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Eng. Ali Ayoub Hussein, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Tume hiyo Kikwajuni Zanzibar. Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar Ndg....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News