Kitwanga: Sijawahi kuingia bungeni nikiwa nimelewa, haitatokea

Mwandishi wetu, Dodoma Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga, amesema hajawahi kuingia bungeni akiwa amelewa na hilo halitakaa litokee. Kitwanga amesema hayo leo bungeni jijini Dodoma, alipokuwa akichangia Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa 2019/20. Wakati akichangia mpango huo, Kitwanga alisema ukiimarisha Shirika la Ndege la Taifa, utalii utakua kwasababu watalii wakifika Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, watachukuliwa na ndege nyingine hadi Mwanza ambapo atachukuliwa na gari la mti wa Kolomoje na kupelekwa mbuga za wanyama. “Wasiojua hili ni watu wa upande huu,” alisema huku akimaanisha wapinzani. Baada ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News