Kocha Mazembe afunguka Ajib alivyomchomolea

NA MWAMVITA MTANDA KOCHA mkuu wa TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, David Mwakasu, amesema mchezaji aliyemhitaji kama usajili wake wa kwanza alikuwa Ibrahim Ajibu lakini kiungo huyo mchezeshaji aliwakatalia dakika za mwishoni. Akizingumza na BINGWA hivi karibuni, kocha huyo alisema taratibu zote zilishakamilika za kumbeba nyota huyo lakini alipopigiwa simu ili atumiwe tiketi ya ndege kwenda DRC kumalizana nao, akawageukia na kusema hayupo tayari. “Naweza kusema Ajibu alifanya nichelewe kusainisha mshambuliaji sababu tuliamini angekuja na alikubali kila kitu lakini baadaye alikataa ofa yetu,” alisema Mwakasu. Kocha huyo...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 22 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News