Kocha wa timu ya taifa ya Brazil amtolea uvivu Donald Trump

Wakati raisi wa chama cha soka duniani Gianni Infantino alipotembelea nchini Marekani miezi michache iliyopita kuliibuka mjadala kuhusu timu ya taifa ya Brazil katika ikulu ya Marekani. Hii ilikuja baada ya muandishi mmoja wa Brazil kusema kwamba nchi yao ni bora duniani kisoka, jambo ambalo raisi wa Marekani Donald Trump hakuafikiana nalo. Trump alimjibu kwa kumuambia timu yao sio bora duniani na ilikuwa na matatizo nchini Urusi kwenye kombe la dunia ndio maana wakaondolewa mapema. Lakini kocha wa timu ya taifa ya Brazil alikuwa na mkutano na waandishi wa habari...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News