Kombora la Urusi gumzo

Moscow WAHANDISI watano wa nguvu za kinyuklia waliofariki baada ya kulipuka injini ya roketi wamezikwa mjini Sarov, kilomita 373 mashariki mwa Moscow ambapo vichwa vya nyuklia hutengezwa. Shirika la Serikali la usimamizi wa nguvu za kinyuklia nchini humo Rosatam lilisema wataalam hao walikuwa wakijaribu injini ya nyuklia. Jaribio hilo lilifanywa karibu na ufukwe wa bahari ya Arctic. Urusi imekuwa ikijaribu kombora la kinyuklia kwa jina Burevesnik. Mlipuko huo ulifuatiwa na kupanda kwa mionzi katika eneo la Seberodvinsk, mji uliopo yapata kilomita 40 mashariki mwa Nyonoksa karibu na bahari nyeupe. Maafisa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 14 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News