Korea Kaskazini, Kusini zazidi kuweka kando tofauti zao

Mataifa jirani ya Korea Kaskazini na Kusini yameamua kufungua ofisi ya kuratibu ushirikiano wao ndani ya Korea Kaskazini katika eneo la mpaka lenye ulinzi mkali wa kijeshi ili kurahisisha mawasiliano na kubadilishana taarifa kabla ya wakuu wa nchi hizo kukutana wiki ijayo jijini Pyongyang....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News