KOREA KASKAZINI YAANDAA GWARIDE BILA MAKOMBORA

PYONGYANG, Korea Kaskazini  SERIKALI ya hapa jana haikuonesha makombora ya masafa marefu kwenye gwaride la jeshi ambalo lilifanyika mjini hapa ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 70 ya kuanzishwa taifa hili. Mbali na kutoonesha silaha hizo za masafa marefu, pia haijulikani kama kiongozi wa nchi hii, Kim Jong-un, alitoa hotuba kwenye warsha hiyo. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza, BBC, gwaride hilo lilikuwa linafuatiliwa kwa karibu ili kufahamu iwapo Serikali ya Pyongyang imejitolea kuharibu zana zake za nyuklia. Kabla ya gwaride hilo, baadhi ya wachambuzi walikuwa wametabiri kuwa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News