Korea Kaskazini yafanya gwaride la kijeshi bila makombora ya masafa marefu

Kiongozi wa Korea Kaskazini Jumapili amekuwa mgeni rasmi kwenye gwaride kubwa la kijeshi, kusheherekea miaka 70 tangia taifa hilo kuundwa, lakini mwaka huu jeshi halikuonyesha makombora yake yaliyoboreshwa ya masafa marefu....

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News