Kubenea awaibua Tundu Lissu, Ben Saanane, Ulimboka bungeni

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea ameibua bungeni tukio la kushambuliwa kwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Mwanahabari Absalom Kibanda, Ben Saanane na Dk. Steven Ulimboka, akiitaka serikali kueleza lini itakamilisha uchunguzi wa matukio hayo. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Akiuliza swali bungeni jijini Dodoma leo tarehe 14 Septemba 2018, Kubenea alihoji ni lini serikali ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News