KUCHA, KOPE BANDIA ZAIBUA MJADALA MZITO

*Ndugai azuia wabunge watakaoziweka wasiingie bungeni * Wanaharakati wadai amedhalilishwa utu wa mwanamke Na WAANDISHI WETU-DAR/DODOMA Hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai kupiga marufuku wabunge waliobandika kucha na kope bandia kutoingia ndani ya ukumbi wa Bunge, imeibua mjadala huku wanaharakati wakidai kiongozi huyo amedhalilisha utu wa mwanamke. Spika Ndugai alitoa marufuku hiyo bungeni jana wakati wa kipindi cha maswali na majibu, baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Fatma Tawfiq (CCM), kuhoji idadi ya wanawake walioathirika macho kutokana na matumizi ya kope bandia. Akizungumza na MTANZANIA jana, Mhadhiri wa...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News