Kucha na kope bandia marufuku bungeni

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Job Ndugai, amepiga marufuku wabunge wanawake kuingia bungeni wakiwa wamebandika kucha na kope za bandia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). “Kwa mamlaka niliyopewa, napiga marufuku wabunge waliobandika kucha za bandia na kope za bandia kwamba ni marufuku na hilo la kujipodoa bado najadiliana na wataalam ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News