Kufungwa kwa serikali kuu Marekani kumeweka historia

Ikiwa katika siku yake ya 22 bado hakuna mwangaza ni lini serikali kuu Marekani itafunguliwa. Hatua hii imetokana na mvutano kati ya Rais Trump na bunge ambapo rais anadai apatiwe fedha za ujenzi wa ukuta kwenye mpaka wa Marekani na Mexico na bunge linakataa...

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News