Kumtetea mkandarasi kwamponza Waziri, JPM amtolea uvivu

RAIS John Magufuli amemchimba mkwara Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwele kwamba atamfukuza kazi endapo mkandarasi wa ujenzi wa daraja la Mto Sibiti lililoko mpakani mwa mkoa wa Singida na Simiyu, kampuni ya China Henan International Corporation haitamaliza ujenzi huo kwa wakati. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Wakati akizungumza katika hafla ya ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News