Kundi la Rostamu lajivunia idadi kubwa ya mashabiki

JENNIFER ULLEMBO-DAR ES SALAAM MSANII wa muziki wa kizazi kipya na kundi la Rostamu, Stamina, amesema muunganiko wao na Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’, umewaongezea idadi kubwa ya mashabiki ndani na nje ya Tanzania. Akizungumza jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Stamina alisema awali kila mmoja alipokuwa akifanya kazi zake binafsi, walikuwa na mashabiki, lakini wakati huu hali imebadilika wameongezeka zaidi ya matarajio yao. Alisema hakuna kazi ya pamoja waliyofanya haijawahi kupokelewa vema na mashabiki, kila wimbo unapotoka lazima ukubalike. “Tunashukuru sana, kazi zetu za pamoja zimeweza kutuongezea idadi ya mashabiki...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News