Kususa Bungeni Kwawaponza Wabunge wa Upinzani

Kitendo cha Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, kususia kuapishwa kwa wabunge wanne wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walihama kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kujiunga na chama hicho tawala, kumewaponza upinzani baada ya kushindwa kusoma hotuba yao kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo ya Fedha wa Mwaka 2018.Pia kususa huko, kumewafanya wabunge wawili wa upinzani ambao walikuwa kwenye orodha ya kuuliza maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kunyimwa nafasi hiyo.Leo Alhamisi Novemba 15, asubuhi baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kuingia...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News