Kutoka Bungeni leo Kuapishwa Kwa Wabunge Wapya na Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai.

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia)  akimwapisha , Mbunge wa Simanjiro, James Millya, Bungeni jijini DodomaSpika wa Bunge, Job Ndugai (Kulia) akimwapisha Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Bungeni jijini DodomaSpika wa Bunge, Job Ndugai (kulia)  akimwapisha mbunge wa Serengeti, Marwa Ryoba Chacha, Bungeni jijini DodomaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza, Mbunge wa Ukerewe, Joseph Mkundi baada ya  Mbunge huyo kuapishwa, bungeni jijini Dodoma,Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul baada ya mbunge huyo kuapishwa, Bungeni jijini Dodoma, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali, Bungeni jijini DodomaWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News