Kuvuliwa ubunge Nassari; Mahakama yainyoosha NEC

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dodoma imetoa amri ya kutofanyika uchaguzi wa Ubunge katika Jimbo la Arumeru Mashariki, mpaka shauri la madai Na. 22/2019 lililofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Joshua Nassari litakapotolewa uamuzi. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma leo tarehe 20 Machi 2019 na Nassari inaeleza kuwa, amri ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Wednesday, 20 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News