Kuziona Simba, Yanga Sh. 7,000

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi Kuu unaowakutanisha watani wa jadi Yanga na Simba utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, ambapo kiingilio cha chini kitakuwa ni Sh. 7,000. Anaripoti Kelvin Mwaipungu … (endelea) Viingilio vingine katika mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi 16 Ffebruari, 2019 vitakuwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News