Kwa Kimenya imeshaanza kulipa mbona!

Amesema hadi sasa ana mabao manne aliyofunga akichezeshwa kama mshambuliaji, mawili ameyafunga katika mchezo wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar na mengine mawili kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Mbeya kwanza....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News