Kwanini Sergio Aguero ndiye mfalme wa EPL?

Binafsi sijamuona fowadi kama Aguero EPL. Wapo watakaomtaja Harry Kane lakini bado kuna vitu vya tofauti naviona Kwa Kun’. Hakuna siri ni wazi uwezo wake unajionesha. Kwa sasa ndiye kinara wa ufungaji mabao dhidi ya vilabu 6 bora. Aguero – Magoli 43 Vardy – Magoli – 29 Rooney – Magoli – 23 Kane – Magoli – 21 Idadi ya magoli aliyofunga leo yamemfanya avunje rekodi ya Eric Brook na Timmy Johnson ya magoli 158 katika klabu ya City ambapo Sergio Kun Aguero amefikisha magoli 160. Kama hiyo haitoshi Aguero sasa...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Sunday, 10 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News