Laini za simu kuzimwa Desemba 31

WATU ambao hawatasajili laini zao za simu kwa alama za vidole, hawatoweza kuzitumia baada ya tarehe 31 Desemba 2019. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Atashasta Nditiye, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano ametoa kauli hiyo bungeni na kwamba, usajili wa laini za mitandao yote ya simu nchini, umepangwa kuanza tarehe 1 Mei 2019. Amefafanua kwamba, ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 25 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News