Lema mikononi mwa polisi Arusha

GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha ametakiwa kufika Polisi Arusha leo tarehe 21 Oktoba 2018 kabla hakujakucha. Anaripoti Mariam Seleman … (endelea). Mpaka sasa wito wa Lema kutoka Kituo Kikuu cha Polisi Arusha haujafahamika lengo lake. Mbunge huyo ameandika kwenye ukurasa wake wa Tweeter kwamba, anaelekea Arusha kutekeleza wito huo. “Nimepigiwa simu na Polisi kwamba natakiwa ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Sunday, 21 October

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News